Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Wizara ya Mifugo na Uvuvi
English: Ministry of Livestock and Fisheries
MamlakaTanzania
Makao MakuuSamora Avenue,Dar es Salaam
WaziriLuhaga Joelson Mpina
Naibu WaziriAbdallah Hamis Ulega
Tovutimem.go.tz

Wizara ya Mifugo na Uvuvi (kwa Kiingereza: Ministry of Livestock and Fisheries) ni wizara mpya inayojitegemea ya serikali ya awamu ya tano nchini Tanzania iliyopatikana baada ya kuvunjwa kwa wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi na kutengeneza wizara mbili tofauti: Wizara ya Kilimo na Wizara ya Mifugo na Uvuvi. Ndivyo alivyoamua Rais John Pombe Joseph Magufuli tarehe 7 Oktoba 2017.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne