Wizara ya Nishati English: Ministry of Energy | |
---|---|
![]() | |
Mamlaka | Tanzania |
Makao Makuu | Samora Avenue,Dar es Salaam |
Waziri | Dkt. Medard Matogolo Kalemani |
Naibu Waziri | Subira Khamis Mgalu |
Tovuti | nishati.go.tz |
Wizara ya Nishati (kwa Kiingereza: Ministry of Energy) ni wizara mpya ya serikali nchini Tanzania iliyopatikana baada ya tarehe 7 Oktoba 2017 Rais John Pombe Joseph Magufuli kuvunja wizara ya Nishati na Madini na kutengeneza wizara mbili tofauti: Wizara ya Nishati na Wizara ya Madini.