Wizara ya Ujenzi

Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (Kiingereza: Ministry of Works) ni wizara ya serikali nchini Tanzania. Ofisi kuu ya wizara hii zipo mjini Dar es Salaam.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne