Wolfsburg

Sehemu ya mji wa Wolfsburg








Wolfsburg

Nembo
Nchi Ujerumani
Jimbo Saksonia Chini
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 123.144
Tovuti:  http://www.wolfsburg.de/

Wolfsburg ni mji wa Saksonia Chini nchini Ujerumani ya Kaskazini. Idadi ya wakazi wake ni takriban 123.144 (2012).


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne