Wote | |
Mahali pa Wote katika Kenya |
|
Majiranukta: 1°47′0″S 37°38′0″E / 1.78333°S 37.63333°E | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Makueni |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 56,419 |
Wote ni mji wa Kenya Mashariki. Ni makao makuu ya kaunti ya Makueni. Ni kata ya Eneo bunge la Makueni[1].
Wakazi wa eneo lake ni 56,419 (sensa ya mwaka 1999).