Wyoming | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Cheyenne | ||
Eneo | |||
- Jumla | 253,336 km² | ||
- Kavu | 251,489 km² | ||
- Maji | 1,847 km² | ||
Tovuti: http://wyoming.gov/ |
Wyoming ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu na mji mkubwa ni Cheyenne. Miji muhimu baada ya Cheyenne ni Casper, Laramie na Rock Springs. Imepakana na Montana, South Dakota (Dakota Kusini), Nebraska, Colorado, Utah na Idaho. Jimbo lina wakazi wapatao 532,668 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 253,348.