Xscape | |
---|---|
Chimbuko | Atlanta, Georgia, U.S. |
Miaka ya kazi | 1991–2001; 2005–2009 |
Studio | So So Def/Columbia/SME Records (1992-1998) |
Ameshirikiana na | Bow Wow, Jermaine Dupri |
LaTocha Scott Tamika Scott Tameka "Tiny" Cottle Kandi Burruss Kiesha Miles Tamera Coggins-Wynn |
Xscape lilikuwa kundi la waimbaji wa kike wa R&B kutoka Atlanta, Georgia nchini Marekani. Kundi lilipata platinamu tatu mfululizo kwa albamu zao ikiwa ni pamoja na kushika nafasi ya 6 na kuingiza vibao 10 bab-kubwa katika chati za Billboard Hot 100 katika kipindi cha miaka ya 1990 - "Just Kickin' It", "Who Can I Run To", "The Arms of the One Who Loves You", na "My Little Secret". Kikosi halisi cha kundi kiliunganishwa na ndugu ambao ni LaTocha na Tamika Scott, Kandi Burruss, Tameka "Tiny" Cottle, na Tamera Coggins, lakini Coggins aliondoka kabla kundi halijatoa hata albamu yao ya kwanza.