Yambio

Yambio ni mji wa Sudan Kusini, jimbo la Equatoria Magharibi.

Idadi ya watu wake ilikadiriwa kuwa 40,400 mwaka 2010.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne