Yemi Osinbajo | |
Makamu wa Rais wa Nigeria
| |
Aliingia ofisini 29 Mei 2015 | |
Rais | Muhammadu Buhari |
---|---|
mtangulizi | Namadi Sambo |
Mwanasheria Mkuu katika Jimbo la Lagos na Kamishna wa Sheria
| |
Muda wa Utawala 1999 – 2007 | |
tarehe ya kuzaliwa | 8 Machi 1957 Lagos, Lagos State, Nigeria |
utaifa | Nigeria |
chama | All Progressives Congress |
ndoa | Oludolapo Osinbajo |
watoto | 3 |
mhitimu wa | |
Fani yake | Mwanasheria, wakili, mchungaji wa kanisa |
dini | Ukristo[1] |
tovuti | profyemiosinbajo.com |
Oluyemi Oluleke Osinbajo (* 8 Machi 1957) ni wakili na mwanasiasa nchini Nigeria. Tangu 29 Mei 2015 alikuwa makamu wa rais wa Nigeria Muhammadu Buhari. Yeye ni pia wakili, mwanasheria aliyefundisha kwenye chuo kikuu alishika vyeo mbalimbali katika idara ya sheria ya Jimbo la Lagos anakotoka. [2] [3]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)