Mfalme Yeongnyu wa Goguryeo (??? - 642, r.618 — 642) alikuwa mtawala wa ishirini na saba wa taifa la Goguryeo, huko mbali kabisa kuelekea maeneo ya kaskazini mwa Falme Tatu za Korea.
Developed by Nelliwinne