Yeriko

Yeriko kutoka kusini.

Yeriko (kwa Kiebrania יְרִיחוֹ, kwa Kiarabu أريحا, maana yake "wenye kunukia") ni mji wa kale sana, ulioanzishwa miaka 9000 hivi KK karibu na mto Yordani.

Mwaka 2006 ulikuwa na wakazi 20,400[1][2]

  1. Elected City Council Municipality of Jericho Ilihifadhiwa 5 Mei 2008 kwenye Wayback Machine.. Retrieved 8 Machi 2008.
  2. Projected Mid -Year Population for Jericho Governorate by Locality 2004–2006 Ilihifadhiwa 7 Februari 2012 kwenye Wayback Machine. Palestinian Central Bureau of Statistics (PCBS).

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne