Yinka Shonibare

Yinka Shonibare (amezaliwa 9 Agosti 1962) ni msanii wa Uingereza anayeishi Uingereza.

Kazi yake inachunguza utambulisho wa kitamaduni, ukoloni na baada ya ukoloni ndani ya muktadha wa kisasa wa utandawazi.[1]

  1. "Shonibare, Yinka, (born 9 Aug. 1962), visual artist, since 1991". WHO'S WHO & WHO WAS WHO (kwa Kiingereza). 2010. doi:10.1093/ww/9780199540884.013.U251465. ISBN 978-0-19-954088-4. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne