Yukon | |||
| |||
Nchi | ![]() |
||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Whitehorse | ||
Eneo | |||
- Jumla | 482,443 km² | ||
Tovuti: http://www.gov.yk.ca/ |
Yukon ni eneo kubwa la Kanada upande wa magharibi ya nchi. Imepakana na Marekani (Alaska) upande wa kaskazini-magharibi, Northwest Territories upande wa mashariki na British Kolumbia upande wa kusini.
Ina pwani fupi na Bahari ya Aktika. Sehemu kubwa ya eneo lake ni misitu tu.
Yukon lina wakazi wapatao 33,442 (2009) katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 482,443.
Whitehorse ni mji mkuu na mji mkubwa.
Kuna lugha rasmi 2: Kiingereza na Kifaransa