Yurina Imai

Yurina Imai (alizaliwa 20 Februari 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama kiungo wa klabu ya wanawake ya JEF United Chiba inayoshiriki ligi ya Yogibo WE huko Japani. Yurina alicheza kwa mara ya kwanza kwenye Ligi ya Yogibo WE mnamo 20 Septemba 2021.[1][2]

  1. "Yurina Imai".
  2. "Scoresheet" (PDF). weleague.jp.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne