Yvonne Bryceland | |
Amezaliwa | 18 Novemba 1925 Cape Town, Afrika kusini |
---|---|
Amekufa | 13 Januar1 1992 (Miaka 66) |
Majina mengine | Athol Fugard |
Kazi yake | Muigizaji |
Watoto | Mavourneen, Colleen, Melanie |
Yvonne Bryceland (18 Novemba 1925 – 13 Januari 1992), alikua muigizaji wa jukwaani nchini Afrika Kusini. Moja ya kazi yake ya uigizaji inayojulikana sana ni Athol Fugard.