Ziwa Albert | |
---|---|
Anwani ya kijiografia | 1°41′N 30°55′E / 1.683°N 30.917°E |
Mito ya kuingia | Victoria Nile |
Mito ya kutoka | Albert Nile |
Nchi za beseni | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Uganda |
Urefu | 160 km |
Upana | 30 km |
Eneo la maji | 5,300 km² |
Kina cha wastani | 25 m |
Kina kikubwa | 58 m |
Mjao | 132 km³[1] |
Kimo cha uso wa maji juu ya UB | 615 m |
Miji mikubwa ufukoni | Butiaba, Pakwach |
Marejeo | [1] |
Ziwa Albert - pia Albert Nyanza, Ziwa Mwitanzige, na zamani kwa miaka michache Ziwa Mobutu Sese Seko - ni moja ya maziwa makubwa ya Afrika. Ni ziwa kubwa la saba katika Afrika, likiwa na nafasi ya ishirini na saba kwa ukubwa katika ulimwengu mzima.