Burns akichezea USC Trojans women's soccer mwaka 2021.
Zoe Mackenzie Chabot Burns (amezaliwa 5 Januari, 2002) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa anayekipiga kama beki katika timu ya Utah Royals katika Ligi ya Kitaifa ya Soka ya Wanawake (NWSL).[1][2][3]